DHAMBI NA KUKOMBOLEWA. Read Count : 43

Category : Books-Fiction

Sub Category : Historical Fiction
          Utangulizi wa kitabu

Kitabu hiki chenye somo kuhusu DHAMBI NA KUKOMBOLEWA, kimekusudiwa kukusaidia upate kuelewa vizuri dhana ya dhambi na uweze kufahamu, kwa kina kuhusu dhambi mpaka kuokolewa kwa mdhambi.

 ✍️ Neno la Mungu linauwezo wa kubadilisha maisha ya watu, Roho mtakatifu yule yule alie ivuvia Biblia, atakuwa pamoja nawe unapo jifunza kuhusu Biblia na ukiwa na nia ya kuokolewa na kubadilika kutoka ulipo na kuwa kiumbe kipya katika Kristo.
     Unaweza kujiona kuwa ufahi, lakini Roho mtakatifu atakupatia ufanisi. Unaweza kujiona kuwa ujuwi kitu,  lakini Roho mtakatifu atakupatia hekima. Unaweza kujiona kuwa udhahifu Sana, lakina Roho mtakatifu atakupatia nguvu. Imeandikwa {Akuna kikomo cha kutumika kwa yule ambae ameweka nafsi yake kando, na kutoa nafasi kwa Roho mtakatifu ili afanye kazi katika roho yake" Desire of Ages - Uk. 250}

å
Roho wa Mungu atakujaza sana unapo amuwa kuanza Kujifunza kuhusu somo hili na kufanya jitihada ya kujibadilisha maisha yako, yani unapo amuwa Kujifunza Biblia pamoja na wengine. Kutakuwa na Roho moja kama yako katika ufalme wa Mungu kama wewe uliye amuwa Kujifunza kwa bidihi na kubadilisha DHAMBI MWISHOWE NA KUKOMBOLEWA, wewe hapo ndie unayetakiwa kuurithi ufamle wa Mungu na uzima wa milele, pamoja na Mungu alie mkombozi wa Ulimwengu mzima. Mungu atakuwa pamoja nawe unapo somo kitabu hiki, Roho wake akufanyie uwepesi ili uweze kuelewa somo hili AMINA..

Comments

  • Asante kwa kueneza neno la Mungu.Ubarikiwe na uwe na maisha ya uzima wa milele.

    Jul 14, 2020

  • Avhod Benewely

    Avhod Benewely

    😕?

    Jul 14, 2020

Log Out?

Are you sure you want to log out?