Love You More Than I Can Say
Read Count : 93
Category : Scripts
Sub Category : Movies
Scene:1 akitelemka airport anapokelewa na baba take Rich;waoow Baba (wanakumbatiana)shikamo baba Baba;marahaba mwanangu za Uingereza? Rich; njema tu baba Baba; nimekusubili kwa hamu sana Rich; kwanini baba? Baba;baba ako umli umeenda kazi zimekua nyingi nahitaji kupumzika miladi yotr ya baba yako sasa niyako Rich; baba usijali kabisa ndio maans ujanisomesha.